Yohana 14:6
John 14:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akawaambia, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima. Mtu hawezi kuja kwa Baba isipokuwa kwa kupitia kwangu.
John 14:6 in English
John 14:6 · Berean Standard Bible
Jesus answered, “I am the way and the truth and the life. No one comes to the Father except through Me.
Context
4Ninyi mnajua njia ya kufika ninakokwenda.” 5Tomaso akamwambia, “Bwana, sisi hatujui unakokwenda, tutaijuaje njia?” 6Yesu akawaambia, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima. Mtu hawezi kuja kwa Baba isipokuwa kwa kupitia kwangu. 7Kama mngenijua mimi, mngemjua na Baba pia. Tangu sasa, mnamjua Baba yangu, tena mmemwona.” 8Filipo akamwambia, “Bwana, tuonyeshe Baba yako yatosha.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.