Native Bible

John 14:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninyi mnajua njia ya kufika ninakokwenda.”

John 14:4 in English

John 14:4 · Berean Standard Bible

You know the way to the place where I am going.*”

Context

2Nyumbani kwa Baba yangu kuna makao mengi. Kama sivyo, ningeliwaambia. Naenda kuwaandalia makao. 3Nami nikienda na kuwaandalia makao, nitarudi tena na kuwachukua mkae pamoja nami, ili mahali nilipo, nanyi mpate kuwepo. 4Ninyi mnajua njia ya kufika ninakokwenda.” 5Tomaso akamwambia, “Bwana, sisi hatujui unakokwenda, tutaijuaje njia?” 6Yesu akawaambia, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima. Mtu hawezi kuja kwa Baba isipokuwa kwa kupitia kwangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.