Native Bible

John 14:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nami nikienda na kuwaandalia makao, nitarudi tena na kuwachukua mkae pamoja nami, ili mahali nilipo, nanyi mpate kuwepo.

John 14:3 in English

John 14:3 · Berean Standard Bible

And if I go and prepare a place for you, I will come back and welcome you into My presence, so that you also may be where I am.

Context

1Yesu akawaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu, mnamwamini Mungu, niaminini na mimi pia. 2Nyumbani kwa Baba yangu kuna makao mengi. Kama sivyo, ningeliwaambia. Naenda kuwaandalia makao. 3Nami nikienda na kuwaandalia makao, nitarudi tena na kuwachukua mkae pamoja nami, ili mahali nilipo, nanyi mpate kuwepo. 4Ninyi mnajua njia ya kufika ninakokwenda.” 5Tomaso akamwambia, “Bwana, sisi hatujui unakokwenda, tutaijuaje njia?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.