Yohana 14:8
John 14:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Filipo akamwambia, “Bwana, tuonyeshe Baba yako yatosha.”
John 14:8 in English
John 14:8 · Berean Standard Bible
Philip said to Him, “Lord, show us the Father, and that will be enough for us.”
Context
6Yesu akawaambia, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima. Mtu hawezi kuja kwa Baba isipokuwa kwa kupitia kwangu. 7Kama mngenijua mimi, mngemjua na Baba pia. Tangu sasa, mnamjua Baba yangu, tena mmemwona.” 8Filipo akamwambia, “Bwana, tuonyeshe Baba yako yatosha.” 9Yesu akamjibu, “Filipo, nimekaa nanyi muda huu wote hata usinijue? Mtu yeyote aliyeniona mimi, amemwona Baba. Sasa wawezaje kusema, ‘Tuonyeshe Baba’? 10Je, huamini ya kuwa mimi niko ndani ya Baba, naye Baba yuko ndani yangu? Maneno ninayowaambia siyasemi kwa ajili yangu mwenyewe, bali Baba akaaye ndani yangu ndiye atendaye hizi kazi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.