Native Bible

Jeremiah 51:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wataanguka waliouawa katika Babeli, wakiwa na majeraha ya kutisha barabarani zake.

Jeremiah 51:4 in English

Jeremiah 51:4 · Berean Standard Bible

And they will fall slain in the land of the Chaldeans,* and pierced through in her streets.

Context

2Nitawatuma wageni Babeli kumpepeta na kuiharibu nchi yake; watampinga kila upande katika siku ya maafa yake. 3Usimwache mpiga upinde afunge kamba upinde wake, wala usimwache avae silaha zake. Usiwaonee huruma vijana wake; angamiza jeshi lake kabisa. 4Wataanguka waliouawa katika Babeli, wakiwa na majeraha ya kutisha barabarani zake. 5Kwa maana Israeli na Yuda hawajaachwa na Mungu wao, Bwana Mwenye Nguvu Zote, ingawa nchi yao imejaa uovu mbele zake yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 6“Kimbieni kutoka Babeli! Okoeni maisha yenu! Msiangamizwe kwa sababu ya dhambi zake. Ni wakati wa kisasi cha Bwana, atamlipa kile anachostahili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.