Native Bible

Jeremiah 51:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitawatuma wageni Babeli kumpepeta na kuiharibu nchi yake; watampinga kila upande katika siku ya maafa yake.

Jeremiah 51:2 in English

Jeremiah 51:2 · Berean Standard Bible

I will send strangers to Babylon to winnow her and empty her land; for they will come against her from every side in her day of disaster.

Context

1Hili ndilo asemalo Bwana: “Tazama nitaamsha roho ya mwangamizi dhidi ya Babeli na watu wakaao Leb-Kamai.* 2Nitawatuma wageni Babeli kumpepeta na kuiharibu nchi yake; watampinga kila upande katika siku ya maafa yake. 3Usimwache mpiga upinde afunge kamba upinde wake, wala usimwache avae silaha zake. Usiwaonee huruma vijana wake; angamiza jeshi lake kabisa. 4Wataanguka waliouawa katika Babeli, wakiwa na majeraha ya kutisha barabarani zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.