Yeremia 51:1
Jeremiah 51:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hili ndilo asemalo Bwana: “Tazama nitaamsha roho ya mwangamizi dhidi ya Babeli na watu wakaao Leb-Kamai.*
Jeremiah 51:1 in English
Jeremiah 51:1 · Berean Standard Bible
This is what the LORD says: “Behold, I will stir up against Babylon and against the people of Leb-kamai * the spirit of a destroyer.
Context
1Hili ndilo asemalo Bwana:
“Tazama nitaamsha roho ya mwangamizi
dhidi ya Babeli na watu wakaao Leb-Kamai.* 2Nitawatuma wageni Babeli
kumpepeta na kuiharibu nchi yake;
watampinga kila upande
katika siku ya maafa yake. 3Usimwache mpiga upinde afunge kamba upinde wake,
wala usimwache avae silaha zake.
Usiwaonee huruma vijana wake;
angamiza jeshi lake kabisa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.