Yeremia 49:27
Jeremiah 49:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Nitatia moto kuta za Dameski; utaangamiza ngome za Ben-Hadadi.”
Jeremiah 49:27 in English
Jeremiah 49:27 · Berean Standard Bible
“I will set fire to the walls of Damascus; it will consume the fortresses of Ben-hadad.”
Context
25Kwa nini mji ambao unajulikana haujaachwa,
mji ambao ninaupenda? 26Hakika, vijana wake wanaume wataanguka barabarani;
askari wake wote watanyamazishwa siku hiyo,”
asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 27“Nitatia moto kuta za Dameski;
utaangamiza ngome za Ben-Hadadi.” 28Kuhusu Kedari na falme za Hazori, ambazo Nebukadneza mfalme wa Babeli alizishambulia:
Hili ndilo asemalo Bwana:
“Inuka, ushambulie Kedari
na kuwaangamiza watu wa mashariki. 29Hema zao na makundi yao ya kondoo yatachukuliwa;
vibanda vyao vitatwaliwa
pamoja na mali zao zote na ngamia zao.
Watu watawapigia kelele,
‘Hofu kuu iko kila upande!’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.