Native Bible

Jeremiah 49:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakika, vijana wake wanaume wataanguka barabarani; askari wake wote watanyamazishwa siku hiyo,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.

Jeremiah 49:26 in English

Jeremiah 49:26 · Berean Standard Bible

For her young men will fall in the streets, and all her warriors will be silenced in that day,” declares the LORD of Hosts.

Context

24Dameski amedhoofika, amegeuka na kukimbia, hofu ya ghafula imemkamata sana; amepatwa na uchungu na maumivu, maumivu kama ya mwanamke katika utungu wa kuzaa. 25Kwa nini mji ambao unajulikana haujaachwa, mji ambao ninaupenda? 26Hakika, vijana wake wanaume wataanguka barabarani; askari wake wote watanyamazishwa siku hiyo,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 27“Nitatia moto kuta za Dameski; utaangamiza ngome za Ben-Hadadi.” 28Kuhusu Kedari na falme za Hazori, ambazo Nebukadneza mfalme wa Babeli alizishambulia: Hili ndilo asemalo Bwana: “Inuka, ushambulie Kedari na kuwaangamiza watu wa mashariki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.