Yeremia 30:3
Jeremiah 30:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Siku zinakuja,’ asema Bwana, ‘nitakapowaleta watu wangu Israeli na Yuda kutoka uhamishoni, na kuwarudisha katika nchi niliyowapa baba zao ili kuimiliki,’ asema Bwana.”
Jeremiah 30:3 in English
Jeremiah 30:3 · Berean Standard Bible
For behold, the days are coming, declares the LORD, when I will restore from captivity * My people Israel and Judah, declares the LORD. I will restore them to the land that I gave to their fathers, and they will possess it.’”
Context
1Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana: 2“Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: ‘Andika katika kitabu maneno yote niliyonena na wewe. 3Siku zinakuja,’ asema Bwana, ‘nitakapowaleta watu wangu Israeli na Yuda kutoka uhamishoni, na kuwarudisha katika nchi niliyowapa baba zao ili kuimiliki,’ asema Bwana.” 4Haya ndiyo maneno Bwana aliyoyanena kuhusu Israeli na Yuda: 5“Hili ndilo asemalo Bwana:
“ ‘Vilio vya woga vinasikika:
hofu kuu, wala si amani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.