Native Bible

Jeremiah 30:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana:

Jeremiah 30:1 in English

Jeremiah 30:1 · Berean Standard Bible

This is the word that came to Jeremiah from the LORD:

Context

1Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana: 2“Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: ‘Andika katika kitabu maneno yote niliyonena na wewe. 3Siku zinakuja,’ asema Bwana, ‘nitakapowaleta watu wangu Israeli na Yuda kutoka uhamishoni, na kuwarudisha katika nchi niliyowapa baba zao ili kuimiliki,’ asema Bwana.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.