Native Bible

Jeremiah 30:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: ‘Andika katika kitabu maneno yote niliyonena na wewe.

Jeremiah 30:2 in English

Jeremiah 30:2 · Berean Standard Bible

“This is what the LORD, the God of Israel, says: ‘Write in a book all the words that I have spoken to you.

Context

1Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana: 2“Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: ‘Andika katika kitabu maneno yote niliyonena na wewe. 3Siku zinakuja,’ asema Bwana, ‘nitakapowaleta watu wangu Israeli na Yuda kutoka uhamishoni, na kuwarudisha katika nchi niliyowapa baba zao ili kuimiliki,’ asema Bwana.” 4Haya ndiyo maneno Bwana aliyoyanena kuhusu Israeli na Yuda:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.