Native Bible

Jeremiah 2:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Vuka, nenda ngʼambo mpaka pwani ya Kitimu* nawe uangalie, tuma watu waende Kedari, wachunguze kwa makini, uone kama kumekuwepo kitu kama hiki.

Jeremiah 2:10 in English

Jeremiah 2:10 · Berean Standard Bible

Cross over to the coasts of Cyprus * and take a look; send to Kedar and consider carefully; see if there has ever been anything like this:

Context

8Makuhani hawakuuliza, ‘Yuko wapi Bwana?’ Wale wanaoshughulikia sheria hawakunijua mimi; viongozi waliasi dhidi yangu. Manabii walitabiri kwa jina la Baali, wakifuata sanamu zisizofaa. 9“Kwa hiyo naleta tena mashtaka dhidi yako,” asema Bwana. “Nami nitaleta mashtaka dhidi ya watoto wa watoto wako. 10Vuka, nenda ngʼambo mpaka pwani ya Kitimu* nawe uangalie, tuma watu waende Kedari, wachunguze kwa makini, uone kama kumekuwepo kitu kama hiki. 11Je, taifa limebadili miungu yake wakati wowote? (Hata ingawa hao si miungu kamwe.) Lakini watu wangu wamebadili Utukufu wao kwa sanamu zisizofaa kitu. 12Shangaeni katika hili, ee mbingu, nanyi tetemekeni kwa hofu kuu,” asema Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.