Native Bible

Jeremiah 13:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Chukua mkanda ulionunua ambao umeuvaa kiunoni mwako, uende sasa Frati uufiche ndani ya ufa mdogo kwenye mwamba.”

Jeremiah 13:4 in English

Jeremiah 13:4 · Berean Standard Bible

“Take the loincloth that you bought and are wearing, and go at once to Perath * and hide it there in a crevice of the rocks.”

Context

2Kwa hiyo nikanunua mkanda, kama Bwana alivyoniagiza, nikajivika kiunoni. 3Ndipo neno la Bwana likanijia kwa mara ya pili: 4“Chukua mkanda ulionunua ambao umeuvaa kiunoni mwako, uende sasa Frati uufiche ndani ya ufa mdogo kwenye mwamba.” 5Ndipo nikaenda na kuuficha ule mkanda huko Frati, kama Bwana alivyoniamuru. 6Baada ya siku nyingi Bwana akaniambia, “Nenda sasa Frati ukauchukue ule mkanda niliokuambia uufiche huko.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.