Yeremia 13:2
Jeremiah 13:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo nikanunua mkanda, kama Bwana alivyoniagiza, nikajivika kiunoni.
Jeremiah 13:2 in English
Jeremiah 13:2 · Berean Standard Bible
So I bought a loincloth as the LORD had instructed me, and I put it around my waist.
Context
1Hili ndilo Bwana aliloniambia: “Nenda ununue mkanda wa kitani, ujivike kiunoni mwako, lakini usiuache uguse maji.” 2Kwa hiyo nikanunua mkanda, kama Bwana alivyoniagiza, nikajivika kiunoni. 3Ndipo neno la Bwana likanijia kwa mara ya pili: 4“Chukua mkanda ulionunua ambao umeuvaa kiunoni mwako, uende sasa Frati uufiche ndani ya ufa mdogo kwenye mwamba.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.