Yeremia 13:3
Jeremiah 13:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo neno la Bwana likanijia kwa mara ya pili:
Jeremiah 13:3 in English
Jeremiah 13:3 · Berean Standard Bible
Then the word of the LORD came to me a second time:
Context
1Hili ndilo Bwana aliloniambia: “Nenda ununue mkanda wa kitani, ujivike kiunoni mwako, lakini usiuache uguse maji.” 2Kwa hiyo nikanunua mkanda, kama Bwana alivyoniagiza, nikajivika kiunoni. 3Ndipo neno la Bwana likanijia kwa mara ya pili: 4“Chukua mkanda ulionunua ambao umeuvaa kiunoni mwako, uende sasa Frati uufiche ndani ya ufa mdogo kwenye mwamba.” 5Ndipo nikaenda na kuuficha ule mkanda huko Frati, kama Bwana alivyoniamuru.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.