Native Bible

Jeremiah 13:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo nikaenda na kuuficha ule mkanda huko Frati, kama Bwana alivyoniamuru.

Jeremiah 13:5 in English

Jeremiah 13:5 · Berean Standard Bible

So I went and hid it at Perath, as the LORD had commanded me.

Context

3Ndipo neno la Bwana likanijia kwa mara ya pili: 4“Chukua mkanda ulionunua ambao umeuvaa kiunoni mwako, uende sasa Frati uufiche ndani ya ufa mdogo kwenye mwamba.” 5Ndipo nikaenda na kuuficha ule mkanda huko Frati, kama Bwana alivyoniamuru. 6Baada ya siku nyingi Bwana akaniambia, “Nenda sasa Frati ukauchukue ule mkanda niliokuambia uufiche huko.” 7Hivyo nikaenda Frati na kuuchimbua ule mkanda kutoka pale nilipokuwa nimeuficha, lakini sasa ulikuwa umeharibika na haufai tena kabisa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.