Yeremia 13:6
Jeremiah 13:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya siku nyingi Bwana akaniambia, “Nenda sasa Frati ukauchukue ule mkanda niliokuambia uufiche huko.”
Jeremiah 13:6 in English
Jeremiah 13:6 · Berean Standard Bible
Many days later the LORD said to me, “Arise, go to Perath, and get the loincloth that I commanded you to hide there.”
Context
4“Chukua mkanda ulionunua ambao umeuvaa kiunoni mwako, uende sasa Frati uufiche ndani ya ufa mdogo kwenye mwamba.” 5Ndipo nikaenda na kuuficha ule mkanda huko Frati, kama Bwana alivyoniamuru. 6Baada ya siku nyingi Bwana akaniambia, “Nenda sasa Frati ukauchukue ule mkanda niliokuambia uufiche huko.” 7Hivyo nikaenda Frati na kuuchimbua ule mkanda kutoka pale nilipokuwa nimeuficha, lakini sasa ulikuwa umeharibika na haufai tena kabisa. 8Ndipo neno la Bwana likanijia:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.