Native Bible

Jeremiah 11:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Sikia maneno ya agano hili, nawe uwaambie watu wa Yuda na wale waishio Yerusalemu.

Jeremiah 11:2 in English

Jeremiah 11:2 · Berean Standard Bible

“Listen to the words of this covenant and tell them to the men of Judah and the residents of Jerusalem.

Context

1Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana: 2“Sikia maneno ya agano hili, nawe uwaambie watu wa Yuda na wale waishio Yerusalemu. 3Waambie kwamba hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: ‘Amelaaniwa mtu ambaye hatayatii maneno ya agano hili, 4maneno niliyowaamuru baba zenu nilipowatoa katika nchi ya Misri, kutoka tanuru la kuyeyushia vyuma.’ Nilisema, ‘Nitiini mimi na mfanye kila kitu ninachowaamuru, nanyi mtakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.