Native Bible

Jeremiah 11:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana:

Jeremiah 11:1 in English

Jeremiah 11:1 · Berean Standard Bible

This is the word that came to Jeremiah from the LORD:

Context

1Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana: 2“Sikia maneno ya agano hili, nawe uwaambie watu wa Yuda na wale waishio Yerusalemu. 3Waambie kwamba hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: ‘Amelaaniwa mtu ambaye hatayatii maneno ya agano hili,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.