Native Bible

Judges 5:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutoka mbinguni nyota zilipigana, nyota kutoka njia zake zilipigana na Sisera.

Judges 5:20 in English

Judges 5:20 · Berean Standard Bible

From the heavens the stars fought; from their courses they fought against Sisera.

Context

18Watu wa Zabuloni walihatarisha maisha yao, vilevile nao watu wa Naftali. 19“Wafalme walikuja na kufanya vita; wafalme wa Kanaani walipigana huko Taanaki karibu na maji ya Megido, lakini hawakuchukua fedha wala nyara. 20Kutoka mbinguni nyota zilipigana, nyota kutoka njia zake zilipigana na Sisera. 21Mto wa Kishoni uliwasomba, ule mto wa zamani, mto wa Kishoni. Songa mbele, ee nafsi yangu, kwa ujasiri! 22Ndipo kwato za farasi zikafanya mshindo: farasi wake wenye nguvu huenda mbio kwa kurukaruka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.