Native Bible

Judges 5:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watu wa Zabuloni walihatarisha maisha yao, vilevile nao watu wa Naftali.

Judges 5:18 in English

Judges 5:18 · Berean Standard Bible

Zebulun was a people who risked their lives; Naphtali, too, on the heights of the battlefield.

Context

16Kwa nini ulikaa katikati ya mazizi ya kondoo kusikiliza sauti ya filimbi zinazoita makundi? Kwa jamaa za Reubeni, palikuwa na kujihoji kukubwa moyoni. 17Gileadi alikaa ngʼambo ya Yordani. Naye Dani, kwa nini alikaa kwenye merikebu siku nyingi? Asheri alikaa kwa utulivu ufuoni mwa bahari, akikaa kwenye ghuba zake ndogo. 18Watu wa Zabuloni walihatarisha maisha yao, vilevile nao watu wa Naftali. 19“Wafalme walikuja na kufanya vita; wafalme wa Kanaani walipigana huko Taanaki karibu na maji ya Megido, lakini hawakuchukua fedha wala nyara. 20Kutoka mbinguni nyota zilipigana, nyota kutoka njia zake zilipigana na Sisera.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.