Native Bible

James 2:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mtu mwingine atasema, “Wewe unayo imani; mimi ninayo matendo.” Nionyeshe imani yako pasipo matendo nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo.

James 2:18 in English

James 2:18 · Berean Standard Bible

But someone will say, “You have faith and I have deeds.” Show me your faith without deeds, and I will show you my faith by my deeds.

Context

16mmoja wenu akamwambia, “Enenda zako kwa amani, ukaote moto na kushiba,” pasipo kumpatia yale mahitaji ya mwili aliyopungukiwa, yafaa nini? 17Vivyo hivyo, imani peke yake kama haikuambatana na matendo, imekufa. 18Lakini mtu mwingine atasema, “Wewe unayo imani; mimi ninayo matendo.” Nionyeshe imani yako pasipo matendo nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo. 19Unaamini kwamba kuna Mungu mmoja. Vyema! Hata mashetani yanaamini hivyo na kutetemeka. 20Ewe mpumbavu! Je, wataka kujua kwamba imani bila matendo haifai kitu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.