Native Bible

James 2:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Vivyo hivyo, imani peke yake kama haikuambatana na matendo, imekufa.

James 2:17 in English

James 2:17 · Berean Standard Bible

So too, faith by itself, if it does not result in action,* is dead.

Context

15Ikiwa ndugu yako au dada hana mavazi wala chakula, 16mmoja wenu akamwambia, “Enenda zako kwa amani, ukaote moto na kushiba,” pasipo kumpatia yale mahitaji ya mwili aliyopungukiwa, yafaa nini? 17Vivyo hivyo, imani peke yake kama haikuambatana na matendo, imekufa. 18Lakini mtu mwingine atasema, “Wewe unayo imani; mimi ninayo matendo.” Nionyeshe imani yako pasipo matendo nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo. 19Unaamini kwamba kuna Mungu mmoja. Vyema! Hata mashetani yanaamini hivyo na kutetemeka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.