Native Bible

James 2:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ikiwa ndugu yako au dada hana mavazi wala chakula,

James 2:15 in English

James 2:15 · Berean Standard Bible

Suppose a brother or sister is without clothes and daily food.

Context

13Kwa kuwa hukumu bila huruma itatolewa kwa mtu yeyote asiyekuwa na huruma. Huruma huishinda hukumu. 14Ndugu zangu, yafaa nini ikiwa mtu atadai kuwa anayo imani lakini hana matendo? Je, imani kama hiyo yaweza kumwokoa? 15Ikiwa ndugu yako au dada hana mavazi wala chakula, 16mmoja wenu akamwambia, “Enenda zako kwa amani, ukaote moto na kushiba,” pasipo kumpatia yale mahitaji ya mwili aliyopungukiwa, yafaa nini? 17Vivyo hivyo, imani peke yake kama haikuambatana na matendo, imekufa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.