Yakobo 2:16
James 2:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
mmoja wenu akamwambia, “Enenda zako kwa amani, ukaote moto na kushiba,” pasipo kumpatia yale mahitaji ya mwili aliyopungukiwa, yafaa nini?
James 2:16 in English
James 2:16 · Berean Standard Bible
If one of you tells him, “Go in peace; stay warm and well fed,” but does not provide for his physical needs, what good is that?
Context
14Ndugu zangu, yafaa nini ikiwa mtu atadai kuwa anayo imani lakini hana matendo? Je, imani kama hiyo yaweza kumwokoa? 15Ikiwa ndugu yako au dada hana mavazi wala chakula, 16mmoja wenu akamwambia, “Enenda zako kwa amani, ukaote moto na kushiba,” pasipo kumpatia yale mahitaji ya mwili aliyopungukiwa, yafaa nini? 17Vivyo hivyo, imani peke yake kama haikuambatana na matendo, imekufa. 18Lakini mtu mwingine atasema, “Wewe unayo imani; mimi ninayo matendo.”
Nionyeshe imani yako pasipo matendo nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.