Native Bible

James 2:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Unaamini kwamba kuna Mungu mmoja. Vyema! Hata mashetani yanaamini hivyo na kutetemeka.

James 2:19 in English

James 2:19 · Berean Standard Bible

You believe that God is one.* Good for you! Even the demons believe that—and shudder.

Context

17Vivyo hivyo, imani peke yake kama haikuambatana na matendo, imekufa. 18Lakini mtu mwingine atasema, “Wewe unayo imani; mimi ninayo matendo.” Nionyeshe imani yako pasipo matendo nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo. 19Unaamini kwamba kuna Mungu mmoja. Vyema! Hata mashetani yanaamini hivyo na kutetemeka. 20Ewe mpumbavu! Je, wataka kujua kwamba imani bila matendo haifai kitu? 21Je, Abrahamu baba yetu hakuhesabiwa haki kwa kile alichotenda, alipomtoa mwanawe Isaki madhabahuni?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.