Yakobo 2:20
James 2:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ewe mpumbavu! Je, wataka kujua kwamba imani bila matendo haifai kitu?
James 2:20 in English
James 2:20 · Berean Standard Bible
O foolish man, do you want evidence that faith without deeds is worthless?*
Context
18Lakini mtu mwingine atasema, “Wewe unayo imani; mimi ninayo matendo.”
Nionyeshe imani yako pasipo matendo nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo. 19Unaamini kwamba kuna Mungu mmoja. Vyema! Hata mashetani yanaamini hivyo na kutetemeka. 20Ewe mpumbavu! Je, wataka kujua kwamba imani bila matendo haifai kitu? 21Je, Abrahamu baba yetu hakuhesabiwa haki kwa kile alichotenda, alipomtoa mwanawe Isaki madhabahuni? 22Unaona jinsi ambavyo imani yake na matendo yake vilikuwa vinatenda kazi pamoja, nayo imani yake ikakamilishwa na kile alichotenda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.