Native Bible

James 1:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye ni mtu mwenye nia mbili, mwenye kusitasita katika njia zake zote.

James 1:8 in English

James 1:8 · Berean Standard Bible

He is a double-minded man, unstable in all his ways.

Context

6Lakini anapoomba, lazima aamini wala asiwe na shaka, kwa sababu mtu aliye na shaka ni kama wimbi la bahari, lililochukuliwa na upepo na kutupwa huku na huku. 7Mtu kama huyo asidhani ya kuwa atapata kitu chochote kutoka kwa Bwana. 8Yeye ni mtu mwenye nia mbili, mwenye kusitasita katika njia zake zote. 9Ndugu asiye na cheo kikubwa yampasa ajivunie hali hiyo maana ametukuzwa. 10Lakini yeye aliye tajiri afurahi kwa kuwa ameshushwa, kwa sababu atatoweka kama ua la shambani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.