Yakobo 1:7
James 1:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu kama huyo asidhani ya kuwa atapata kitu chochote kutoka kwa Bwana.
James 1:7 in English
James 1:7 · Berean Standard Bible
That man should not expect to receive anything from the Lord.
Context
5Kama mtu yeyote miongoni mwenu amepungukiwa na hekima na amwombe Mungu, yeye awapaye watu wote kwa ukarimu wala hana kinyongo, naye atapewa. 6Lakini anapoomba, lazima aamini wala asiwe na shaka, kwa sababu mtu aliye na shaka ni kama wimbi la bahari, lililochukuliwa na upepo na kutupwa huku na huku. 7Mtu kama huyo asidhani ya kuwa atapata kitu chochote kutoka kwa Bwana. 8Yeye ni mtu mwenye nia mbili, mwenye kusitasita katika njia zake zote. 9Ndugu asiye na cheo kikubwa yampasa ajivunie hali hiyo maana ametukuzwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.