Native Bible

Isaiah 32:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watu wangu wataishi katika makao ya mahali pa amani, katika nyumba zilizo salama, katika mahali pa kupumzika pasipo na usumbufu.

Isaiah 32:18 in English

Isaiah 32:18 · Berean Standard Bible

Then my people will dwell in a peaceful place, in safe and secure places of rest.

Context

16Haki itakaa katika jangwa, na uadilifu utakaa katika shamba lenye rutuba. 17Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele. 18Watu wangu wataishi katika makao ya mahali pa amani, katika nyumba zilizo salama, katika mahali pa kupumzika pasipo na usumbufu. 19Hata kama mvua ya mawe iangushe msitu na mji ubomolewe kabisa, 20tazama jinsi utakavyobarikiwa, ukipanda mbegu yako katika kila kijito, na kuwaacha ngʼombe wako na punda wajilishe kwa uhuru.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.