Native Bible

Isaiah 32:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele.

Isaiah 32:17 in English

Isaiah 32:17 · Berean Standard Bible

The work of righteousness will be peace; the service of righteousness will be quiet confidence forever.

Context

15mpaka Roho amwagwe juu yetu kutoka juu, nalo jangwa kuwa shamba lenye rutuba, na shamba lenye rutuba kuwa kama msitu. 16Haki itakaa katika jangwa, na uadilifu utakaa katika shamba lenye rutuba. 17Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele. 18Watu wangu wataishi katika makao ya mahali pa amani, katika nyumba zilizo salama, katika mahali pa kupumzika pasipo na usumbufu. 19Hata kama mvua ya mawe iangushe msitu na mji ubomolewe kabisa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.