Isaya 32:19
Isaiah 32:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hata kama mvua ya mawe iangushe msitu na mji ubomolewe kabisa,
Isaiah 32:19 in English
Isaiah 32:19 · Berean Standard Bible
But hail will level the forest, and the city will sink to the depths.
Context
17Matunda ya haki yatakuwa amani,
matokeo ya haki yatakuwa utulivu
na matumaini milele. 18Watu wangu wataishi katika makao ya mahali pa amani,
katika nyumba zilizo salama,
katika mahali pa kupumzika pasipo na usumbufu. 19Hata kama mvua ya mawe iangushe msitu
na mji ubomolewe kabisa, 20tazama jinsi utakavyobarikiwa,
ukipanda mbegu yako katika kila kijito,
na kuwaacha ngʼombe wako
na punda wajilishe kwa uhuru.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.