Native Bible

Isaiah 32:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

tazama jinsi utakavyobarikiwa, ukipanda mbegu yako katika kila kijito, na kuwaacha ngʼombe wako na punda wajilishe kwa uhuru.

Isaiah 32:20 in English

Isaiah 32:20 · Berean Standard Bible

Blessed are those who sow beside abundant waters, who let the ox and donkey range freely.

Context

18Watu wangu wataishi katika makao ya mahali pa amani, katika nyumba zilizo salama, katika mahali pa kupumzika pasipo na usumbufu. 19Hata kama mvua ya mawe iangushe msitu na mji ubomolewe kabisa, 20tazama jinsi utakavyobarikiwa, ukipanda mbegu yako katika kila kijito, na kuwaacha ngʼombe wako na punda wajilishe kwa uhuru.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.