Native Bible

Isaiah 24:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mji ulioharibiwa umekuwa ukiwa, mlango wa kila nyumba umefungwa.

Isaiah 24:10 in English

Isaiah 24:10 · Berean Standard Bible

The city of chaos is shattered; every house is closed to entry.

Context

8Furaha ya matoazi imekoma, kelele za wenye furaha zimekoma, shangwe za kinubi zimenyamaza. 9Hawanywi tena mvinyo pamoja na wimbo, kileo ni kichungu kwa wanywaji wake. 10Mji ulioharibiwa umekuwa ukiwa, mlango wa kila nyumba umefungwa. 11Barabarani wanalilia kupata mvinyo, furaha yote imegeuka kuwa majonzi, furaha yote imefukuziwa mbali na dunia. 12Mji umeachwa katika uharibifu, lango lake limevunjwa vipande.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.