Native Bible

Isaiah 24:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Furaha ya matoazi imekoma, kelele za wenye furaha zimekoma, shangwe za kinubi zimenyamaza.

Isaiah 24:8 in English

Isaiah 24:8 · Berean Standard Bible

The joyful tambourines have ceased; the noise of revelers has stopped; the joyful harp is silent.

Context

6Kwa hiyo laana inaiteketeza dunia, watu wake lazima waichukue hatia yao. Kwa hiyo wakazi wa dunia wameteketezwa, nao waliosalia ni wachache sana. 7Divai mpya inakauka na mzabibu unanyauka, watu wote wafurahishao wanalia kwa huzuni. 8Furaha ya matoazi imekoma, kelele za wenye furaha zimekoma, shangwe za kinubi zimenyamaza. 9Hawanywi tena mvinyo pamoja na wimbo, kileo ni kichungu kwa wanywaji wake. 10Mji ulioharibiwa umekuwa ukiwa, mlango wa kila nyumba umefungwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.