Isaya 24:9
Isaiah 24:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawanywi tena mvinyo pamoja na wimbo, kileo ni kichungu kwa wanywaji wake.
Isaiah 24:9 in English
Isaiah 24:9 · Berean Standard Bible
They no longer sing and drink wine; strong drink is bitter to those who consume it.
Context
7Divai mpya inakauka na mzabibu unanyauka,
watu wote wafurahishao wanalia kwa huzuni. 8Furaha ya matoazi imekoma,
kelele za wenye furaha zimekoma,
shangwe za kinubi zimenyamaza. 9Hawanywi tena mvinyo pamoja na wimbo,
kileo ni kichungu kwa wanywaji wake. 10Mji ulioharibiwa umekuwa ukiwa,
mlango wa kila nyumba umefungwa. 11Barabarani wanalilia kupata mvinyo,
furaha yote imegeuka kuwa majonzi,
furaha yote imefukuziwa mbali na dunia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.