Isaya 24:11
Isaiah 24:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Barabarani wanalilia kupata mvinyo, furaha yote imegeuka kuwa majonzi, furaha yote imefukuziwa mbali na dunia.
Isaiah 24:11 in English
Isaiah 24:11 · Berean Standard Bible
In the streets they cry out for wine. All joy turns to gloom; rejoicing is exiled from the land.
Context
9Hawanywi tena mvinyo pamoja na wimbo,
kileo ni kichungu kwa wanywaji wake. 10Mji ulioharibiwa umekuwa ukiwa,
mlango wa kila nyumba umefungwa. 11Barabarani wanalilia kupata mvinyo,
furaha yote imegeuka kuwa majonzi,
furaha yote imefukuziwa mbali na dunia. 12Mji umeachwa katika uharibifu,
lango lake limevunjwa vipande. 13Ndivyo itakavyokuwa duniani
na miongoni mwa mataifa,
kama vile wakati mzeituni upigwavyo,
au kama vile wakati masazo yabakiavyo baada ya zabibu kuvunwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.