Native Bible

Isaiah 24:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mji umeachwa katika uharibifu, lango lake limevunjwa vipande.

Isaiah 24:12 in English

Isaiah 24:12 · Berean Standard Bible

The city is left in ruins; its gate is reduced to rubble.

Context

10Mji ulioharibiwa umekuwa ukiwa, mlango wa kila nyumba umefungwa. 11Barabarani wanalilia kupata mvinyo, furaha yote imegeuka kuwa majonzi, furaha yote imefukuziwa mbali na dunia. 12Mji umeachwa katika uharibifu, lango lake limevunjwa vipande. 13Ndivyo itakavyokuwa duniani na miongoni mwa mataifa, kama vile wakati mzeituni upigwavyo, au kama vile wakati masazo yabakiavyo baada ya zabibu kuvunwa. 14Wanainua sauti zao, wanapiga kelele kwa furaha, kutoka magharibi wanasifu kwa ukelele utukufu wa Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.