Native Bible

Isaiah 14:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ambayo kwa hasira waliyapiga mataifa kwa mapigo yasiyo na kikomo, nao kwa ghadhabu kali waliwatiisha mataifa kwa jeuri pasipo huruma.

Isaiah 14:6 in English

Isaiah 14:6 · Berean Standard Bible

It struck the peoples in anger with unceasing blows; it subdued the nations in rage with relentless persecution.

Context

4utaichukua dhihaka hii dhidi ya mfalme wa Babeli: Tazama jinsi mtesi alivyofikia mwisho! Tazama jinsi ghadhabu yake kali ilivyokoma! 5Bwana amevunja fimbo ya mwovu, fimbo ya utawala ya watawala, 6ambayo kwa hasira waliyapiga mataifa kwa mapigo yasiyo na kikomo, nao kwa ghadhabu kali waliwatiisha mataifa kwa jeuri pasipo huruma. 7Nchi zote ziko kwenye mapumziko na kwenye amani, wanabubujika kwa kuimba. 8Hata misunobari na mierezi ya Lebanoni inashangilia mbele yako na kusema, “Basi kwa sababu umeangushwa chini, hakuna mkata miti atakayekuja kutukata.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.