Native Bible

Isaiah 14:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana amevunja fimbo ya mwovu, fimbo ya utawala ya watawala,

Isaiah 14:5 in English

Isaiah 14:5 · Berean Standard Bible

The LORD has broken the staff of the wicked, the scepter of the rulers.

Context

3Katika siku Bwana atakapokuondolea mateso, udhia na utumwa wa kikatili, 4utaichukua dhihaka hii dhidi ya mfalme wa Babeli: Tazama jinsi mtesi alivyofikia mwisho! Tazama jinsi ghadhabu yake kali ilivyokoma! 5Bwana amevunja fimbo ya mwovu, fimbo ya utawala ya watawala, 6ambayo kwa hasira waliyapiga mataifa kwa mapigo yasiyo na kikomo, nao kwa ghadhabu kali waliwatiisha mataifa kwa jeuri pasipo huruma. 7Nchi zote ziko kwenye mapumziko na kwenye amani, wanabubujika kwa kuimba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.