Native Bible

Isaiah 14:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wanaokuona wanakukazia macho, wanatafakari hatima yako: “Je, huyu ndiye yule aliyetikisa dunia na kufanya falme zitetemeke,

Isaiah 14:16 in English

Isaiah 14:16 · Berean Standard Bible

Those who see you will stare; they will ponder your fate: “Is this the man who shook the earth and made the kingdoms tremble,

Context

14Nitapaa juu kupita mawingu, nitajifanya kama Yeye Aliye Juu Sana.” 15Lakini umeshushwa chini hadi kuzimu, hadi kwenye vina vya shimo. 16Wale wanaokuona wanakukazia macho, wanatafakari hatima yako: “Je, huyu ndiye yule aliyetikisa dunia na kufanya falme zitetemeke, 17yule aliyeifanya dunia kuwa jangwa, aliyeipindua miji yake, na ambaye hakuwaachia mateka wake waende nyumbani?” 18Wafalme wote wa mataifa wamelala kwa heshima kila mmoja katika kaburi lake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.