Native Bible

Isaiah 14:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wafalme wote wa mataifa wamelala kwa heshima kila mmoja katika kaburi lake.

Isaiah 14:18 in English

Isaiah 14:18 · Berean Standard Bible

All the kings of the nations lie in state, each in his own tomb.*

Context

16Wale wanaokuona wanakukazia macho, wanatafakari hatima yako: “Je, huyu ndiye yule aliyetikisa dunia na kufanya falme zitetemeke, 17yule aliyeifanya dunia kuwa jangwa, aliyeipindua miji yake, na ambaye hakuwaachia mateka wake waende nyumbani?” 18Wafalme wote wa mataifa wamelala kwa heshima kila mmoja katika kaburi lake. 19Lakini wewe umetupwa nje ya kaburi lako kama tawi lililokataliwa, umefunikwa na waliouawa pamoja na wale waliochomwa kwa upanga, wale washukao mpaka kwenye mawe ya shimo. Kama mzoga uliokanyagwa chini ya nyayo, 20Hutajumuika nao kwenye mazishi, kwa kuwa umeharibu nchi yako na kuwaua watu wako. Mzao wa mwovu hatatajwa tena kamwe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.