Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Viongozi wa Yuda ni kama wale wanaosogeza mawe ya mpaka. Nitamwaga ghadhabu yangu juu yao kama mafuriko ya maji.

Hosea 5:10 in English

Hosea 5:10 · Berean Standard Bible

The princes of Judah are like those who move boundary stones;* I will pour out My fury upon them like water.

Context

8“Pigeni tarumbeta huko Gibea, baragumu huko Rama. Paza kilio cha vita huko Beth-Aveni,* ongoza, ee Benyamini. 9Efraimu ataachwa ukiwa katika siku ya kuadhibiwa. Miongoni mwa makabila ya Israeli ninatangaza lile ambalo halina budi kutukia. 10Viongozi wa Yuda ni kama wale wanaosogeza mawe ya mpaka. Nitamwaga ghadhabu yangu juu yao kama mafuriko ya maji. 11Efraimu ameonewa, amekanyagwa katika hukumu kwa kuwa amekusudia kufuatia sanamu. 12Mimi ni kama nondo kwa Efraimu, na kama uozo kwa watu wa Yuda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.