Hosea 5:8
Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Pigeni tarumbeta huko Gibea, baragumu huko Rama. Paza kilio cha vita huko Beth-Aveni,* ongoza, ee Benyamini.
Hosea 5:8 in English
Hosea 5:8 · Berean Standard Bible
Blow the ram’s horn in Gibeah, the trumpet in Ramah; raise the battle cry in Beth-aven:* Lead on, O Benjamin!
Context
6Wakati wanapokwenda na makundi yao
ya kondoo na ngʼombe
kumtafuta Bwana,
hawatampata;
yeye amejiondoa kutoka kwao. 7Wao si waaminifu kwa Bwana;
wamezaa watoto haramu.
Sasa sikukuu zao za Mwandamo wa Mwezi
zitawaangamiza wao
pamoja na mashamba yao. 8“Pigeni tarumbeta huko Gibea,
baragumu huko Rama.
Paza kilio cha vita huko Beth-Aveni,*
ongoza, ee Benyamini. 9Efraimu ataachwa ukiwa
katika siku ya kuadhibiwa.
Miongoni mwa makabila ya Israeli
ninatangaza lile ambalo halina budi kutukia. 10Viongozi wa Yuda ni kama wale
wanaosogeza mawe ya mpaka.
Nitamwaga ghadhabu yangu juu yao
kama mafuriko ya maji.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.