Hosea 13:9
Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ee Israeli, umeangamizwa, kwa sababu wewe u kinyume nami, kinyume na msaidizi wako.
Hosea 13:9 in English
Hosea 13:9 · Berean Standard Bible
You are destroyed, O Israel, because you are against Me— against your helper.
Context
7Kwa hiyo nitakuja juu yao kama simba,
kama chui nitawavizia kando ya njia. 8Kama dubu aliyenyangʼanywa watoto wake,
nitawashambulia na kurarua vifua vyenu.
Kama simba nitawala;
mnyama pori atawararua vipande vipande. 9“Ee Israeli, umeangamizwa,
kwa sababu wewe u kinyume nami,
kinyume na msaidizi wako. 10Yuko wapi mfalme wako,
ili apate kukuokoa?
Wako wapi watawala wako katika miji yako yote
ambao ulisema kuwahusu,
‘Nipe mfalme na wakuu’? 11Hivyo katika hasira yangu nilikupa mfalme
na katika ghadhabu yangu nilimwondoa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.