Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo nitakuja juu yao kama simba, kama chui nitawavizia kando ya njia.

Hosea 13:7 in English

Hosea 13:7 · Berean Standard Bible

So like a lion I will pounce on them; like a leopard I will lurk by the path.

Context

5Niliwatunza huko jangwani, katika nchi yenye joto liunguzalo. 6Nilipowalisha, walishiba, waliposhiba, wakajivuna, kisha wakanisahau mimi. 7Kwa hiyo nitakuja juu yao kama simba, kama chui nitawavizia kando ya njia. 8Kama dubu aliyenyangʼanywa watoto wake, nitawashambulia na kurarua vifua vyenu. Kama simba nitawala; mnyama pori atawararua vipande vipande. 9“Ee Israeli, umeangamizwa, kwa sababu wewe u kinyume nami, kinyume na msaidizi wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.