Hosea 13:5
Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Niliwatunza huko jangwani, katika nchi yenye joto liunguzalo.
Hosea 13:5 in English
Hosea 13:5 · Berean Standard Bible
I knew you in the wilderness, in the land of drought.
Context
3Kwa hiyo watakuwa kama ukungu wa asubuhi,
kama umande wa alfajiri utowekao,
kama makapi yapeperushwayo
kutoka sakafu ya kupuria nafaka,
kama moshi utorokao kupitia dirishani. 4“Bali mimi ndimi Bwana Mungu wenu,
niliyewaleta ninyi toka Misri.
Msimkubali Mungu mwingine ila mimi,
hakuna Mwokozi isipokuwa mimi. 5Niliwatunza huko jangwani,
katika nchi yenye joto liunguzalo. 6Nilipowalisha, walishiba,
waliposhiba, wakajivuna,
kisha wakanisahau mimi. 7Kwa hiyo nitakuja juu yao kama simba,
kama chui nitawavizia kando ya njia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.