Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivyo katika hasira yangu nilikupa mfalme na katika ghadhabu yangu nilimwondoa.

Hosea 13:11 in English

Hosea 13:11 · Berean Standard Bible

So in My anger I gave you a king, and in My wrath I took him away.

Context

9“Ee Israeli, umeangamizwa, kwa sababu wewe u kinyume nami, kinyume na msaidizi wako. 10Yuko wapi mfalme wako, ili apate kukuokoa? Wako wapi watawala wako katika miji yako yote ambao ulisema kuwahusu, ‘Nipe mfalme na wakuu’? 11Hivyo katika hasira yangu nilikupa mfalme na katika ghadhabu yangu nilimwondoa. 12Kosa la Efraimu limehifadhiwa, dhambi zake zimewekwa katika kumbukumbu. 13Utungu kama wa mwanamke anayejifungua mtoto humjia, lakini yeye ni mtoto asiyekuwa na hekima; wakati utakapowadia hatatoka katika tumbo la mama yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.