Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kosa la Efraimu limehifadhiwa, dhambi zake zimewekwa katika kumbukumbu.

Hosea 13:12 in English

Hosea 13:12 · Berean Standard Bible

The iniquity of Ephraim is bound up; his sin is stored up.

Context

10Yuko wapi mfalme wako, ili apate kukuokoa? Wako wapi watawala wako katika miji yako yote ambao ulisema kuwahusu, ‘Nipe mfalme na wakuu’? 11Hivyo katika hasira yangu nilikupa mfalme na katika ghadhabu yangu nilimwondoa. 12Kosa la Efraimu limehifadhiwa, dhambi zake zimewekwa katika kumbukumbu. 13Utungu kama wa mwanamke anayejifungua mtoto humjia, lakini yeye ni mtoto asiyekuwa na hekima; wakati utakapowadia hatatoka katika tumbo la mama yake. 14“Nitawakomboa watu hawa kutoka nguvu za kaburi, nitawakomboa kutoka mautini. Yako wapi, ee mauti, mateso yako? Uko wapi, ee kuzimu, uharibifu wako? “Sitakuwa na huruma,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.